tangazo hapa
Masogange Ana kesi ya kujibu kuhusu utumiaji wa dawa za kulevya.
Mahakama ya mkazi kisutu imesema kuwa Video vixen,Agnes Gerald anayo kesi ya kujibu kwa kudaiwa kutumia dawa za kulevya hivyo anapaswa kujitetea.Kesi imeunguluma mbele ya hakimu Mkazi mkuu ,Wilbard Mashauri. Kesi imeahirishwa hadi oktoba 12 Mwaka huu mtuhumiwa ataanza kujitetea.
tangazo hapa
