Wema Sepetu afunguka nje ya mahakama baada ya vielelezo vya misokoto ya bangi alivyokutwa navyo kukataliwa.

Thursday, 31 August 2017

Wema Sepetu afunguka nje ya mahakama baada ya vielelezo vya misokoto ya bangi alivyokutwa navyo kukataliwa.

tangazo hapa

                                                               Wema Sepetu


Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini DSM ,imekataa kupokea vielelezo vya ushaidi wa msokoto vipisi viwili vya bangi vilivyotolewa na upande wa mashtaka.
Hakimu mkazi mkuu ,Thomas Simba amesema mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwasababu vina kasoro."Nakubaliana na hoja kwamba msokoto wa bangi na vipisi vina kasoro kwa kuwa shahidi hakuvifafanua mahakamani".
Hiyo imekua ni habari njema kwa wema Sepetu ,kesi imeahirishwa hadi September 12.
Wema Sepetu afurahi na kusema kuwa anaona haki inatendeka na kuwashukuru mawakili wake.

tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top