Ongeza kipato kwa kutengeneza vizulia vya mlangoni
Vijana. Wengi wanalalamika hawana ajira na kupoteza mda mwingi kwenye mambo yasiyo na msingi.Vizulia vya Pompom ni vizulia vinavyotengezwa kwa Uzi wa kushonea masweta .Vizulia hivi ni vizuri ,vinavutia na ni rahisi kuvifua.Na utengenezaji wake ni rahisi sana ndani ya Massa matatu kizulia kinakua tayari na kikiwa kimeisha muuzaji huuza hadi 15000Tsh.Wamama,vijana,wababa tubadilike na kujiajiri na kuondokana na umaskini.
Jinsi ya kutengeneza zulia za pompom
Mahitaji.
Kiloba ,Uzi mnene,chanuo,sindano
Fuata maelekezo kuanzia namba moja hadi Tisa alafu shona na sindano ya kufumia nguo au punching needle.
Masoko ni ya uhakika anzia sokoni ndio ushone
tangazo hapa