tangazo hapa
Kajala Kennedy mrembo wa bongo movie.
Tanzania inaongoza na kuwa na warembo wazuri sana ambao wanajihusisha na masuala ya uigizaji filamu.Warembo hawa wamekutwa na changamoto nyingi ikiwemo kukosa wanaume wa kuwaoa na wanaobahatika kuolewa kutodumu katika ndoa zao.
Sababu zinazowafanya warembo hawa kuwa Single ni.
Uasherati,Kutaka wanaume matajiri,Kushare mabwana ni kawaida hivyo basi wanatakiwa wabadilike.
Mfano Mdogo habari zinazoongoza mtandaoni ni ile ya Kajala kumchukua bwana wa shoga yake Jackline wolper ambae ni msanii kutoka WCB (Harmonize).
Wolper aamua kuwashukia wanaume wa Tanzania siyo waaminifu hivyo basi ndio mana yeye huchukua time yake .Na kawashauri wanawake wasikubali kunyanyaswa kimapenzi wakiona mwanaume siyo mwaminifu wamwage.
tangazo hapa