tangazo hapa
Diamond Platinum adhihirisha yeye ni sukari ya warembo.Mwanamziki Diamond Platinum ambaye anatuwakilisha vyema East Afrika na viunga vyake kwa kutupatia mziki mzuri na kushinda tuzo mbalimbali .Ameonesha yeye ni sukari ya warembo baada ya warembo kuendelea kujigonga ili wapate penzi lake licha ya Diamond kuwa na sifa ya kutokua mwaminifu.
Diamond ambaye ni baba wa Princess Tiffah,Prince Nillan na Prince Abdul Latif(siyo official) ni kijana Mdogo Mwenye mafanikio makubwa ikiwemo kumiliki magari ya kifahari,nyumba ndani na nje ya nchi,Pesa za kumwaga na warembo anaotoka nao kimapenzi toka ndani na nje ya nchi kwa mfano Dillish Mathew.
Inasemekana Diamond alikua na mahusiano na Hamissa ambaye ni video queen katika nyimbo ya Salome.Lakini Diamond amekataa Mara kadhaa na kasema Hamisa Mobetto anatafuta umaarufu kupitia jina lake hivo basi Hamisa aamua kuvujisha picha alizopiga wakiwa pamoja chumbani Madale na kuzua taharuki .
Mama watoto wa Diamond Zari alikanusha mumewe hawezi tembea na cheap woman.
Hamisa nae aja juu na kuonesha kwamba ni kweli amelala na Diamond na Mawifi wanajua.
Hata hivyo watanzania wamtetea Diamond na kusema ni kijana Mdogo Mwenye mafanikio acha ajilie vyake kwa kila mwanamke anaejilengesha.Na kuwashauri mama watoto zake watulie tuli.
tangazo hapa