MASKINI MH.JOSEPH MBILINYI (SUGU) ,AINGIA MATATIZONI.APEWA VITISHO VIZITO IWAPO ATOTIMIZA MASHARTI.

Monday, 18 September 2017

MASKINI MH.JOSEPH MBILINYI (SUGU) ,AINGIA MATATIZONI.APEWA VITISHO VIZITO IWAPO ATOTIMIZA MASHARTI.

tangazo hapa
Joseph jongwe (Sugu)

Joseph Mbilinyi Jongwe(Sugu) ni mbunge wa chadema Mbeya ambaye amejizolea sifa kemukemu za kupendwa na wananchi kutokana na uwezo wa kutatua shida mbalimbali za wananchi zinazowakabili.
Mh.Joseph Mbilinyi (Sugu) ameingia matatizoni na mama mtoto wake Faiza Ally AMBAYE wamezaa mtoto mmoja Sasha.Mama  mtoto huyo ambaye hupenda kumlaumu mara kwa Mara Sugu hatoi Huduma za kumlea Sasha ambae ni mtoto wao.
Faiza Ally ambaye anahusika na uigizaji wa filamu pamoja na kuuza vitu vyote ambavyo vinahusiana na beach au kuogelea pamoja na nywele za kinamama,Amekuja juu baada ya mtoto wao kurudishwa nyumbani  kwa kukosa ada ya shule.
Faiza Ally azidi kufunguka na kasema kuwa tatizo Mh.Sugu amemuachia majukumu yote yeye na kuwataka wanasheria waje wamsaidie kufungua kesi juu yake ili iwe komesho kwake na kwa wababa wote wasiotoa Huduma.Ingawa Faiza anatumiaga lugha Kali katika kudai haki yake watanzania wamshauri apunguze mihemko na kuwa na subra na lugha nzuri.


tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top