tangazo hapa
Diamond akubali kuwa na mahusiano na Hamisa na yeye ndio baba mtoto.Msanii Diamond platinum aonesha ushujaa wa hali ya juu katika kipindi cha Leo tena Clouds baada ya kukubali kuwa amezaa na HAMISSA na kuwa siku zote anatoa Huduma za mtoto ila hana mahusiano na mama.
Diamond Mara kadhaa alisikika akimkana Hamisa .Amesema kwamba alimkana Hamisa kwasababu ya kumuogopa na kumuheshimu Zari mama watoto wawili Prince Nillan na princes Tiffah ambaye ni mkewe kwa sasa.
Diamond aomba msamaha kwa mama yake ,menejiment yake pamoja na mkewe kwa kutukanwa matusi kwenye mitandao ambayo wao siyo waangwa.
Hivyo basi Leo ni siku njema kwa mashabiki wa Diamond kwa kwasababu tumemjua mtoto wa Tatu wa Diamond ambaye ni prince Abdullatif.
Hamisa aamua kuvujisha picha zao baada ya mtoto wake kukataliwa na kumfanya Diamond kuomba kipindi Clouds FM ,ili aweze kudadavua vizuri ,Diamond akubali na kusema shetani amempitia.Hivyo basi Diamond aomba msamaha kwa mashabiki zake ,mama yake mzazi,menejimenti yake.Diamond akubali kumlea mtoto na kumpa malezi yote.
Wanawake wa Tanzania wawaomba waume zao wasijihalalishie zambi ya kuzaa nje kisa wafanye siri ,hili ni funzo kwa wababa wote ,Hamisa ameonesha ujanja wa hali ya juu wa kutunza kumbukumbu ongera HAMISSA.
tangazo hapa