tangazo hapa
Nini maana ya 'M' mkononi mwako.'M' inaweza kuwa mkono mmoja au yote miwili.
MAANA YA 'M' MKONONI MWAKO.
1.Wenye alama ya 'M' katika mkono ni watu ambao Mungu amewajalia kutengeneza na kumiliki Mali nyingi sana katika maisha yao na kuwa watu maruufu na wenye madaraka makubwa katika jamii.
2.Ni watu wasiokata tamaa na wanapenda kujipa moyo na wanatabia nzuri na Siku zote hufanikiwa kwenye masomo,kazi etc
3.Ni watu wanaopenda sana masuala ya kusoma na kuandika na wengi wao ni waandishi wa habari ,vitabu na watangazaji.
N.B NISAIDIE KUSHARE
tangazo hapa