SINGIDA WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO NA UFUGAJI KIBIASHARA KUANZIA 5/10/2017

Wednesday, 13 September 2017

SINGIDA WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO NA UFUGAJI KIBIASHARA KUANZIA 5/10/2017

tangazo hapa

Mafunzo ya kilimo na ufugaji
Kampuni ya Thubutu investment and traders (TIT),iliyopo Singida mjini ni Kampuni ya ushauri elekezi wa kibiashara inayo furaha kukualika kwenye Mafunzo ya kilimo na ufugaji yatakayotolewa tarehe 5/10/2017 hadi tarehe 7/10/2017  kwa gharama ya Tshs 20000/= Maeneo ya Nssf mkoa Singida /kanisa la Roman  kwenye ukumbi wa Kampuni uliopo hapohapo ofisini.Kumekuwa na lawama nyingi sana kuhusu kukua kwa uchumi wa mkoa wa Singida na takwimu zinaonesha ni ya nne kwa umaskini kati ya mikoa ipatikanayo Tanzania.
Hivyo basi jamii inatakiwa kuinuka kutojibweteka na kufanya shughuli kwa hali na Mali kwa kuwashirikisha wataalamu waliobobea katika sekta mbalimbali za uchumi.Mafunzo yatakayotolewa ni:
1.Ufugaji Kuku Aina zote Layer,Broiler, Chotara na wakienyeji.
2.Kilimo cha mbogamboga na matunda
3.Ufugaji samaki na jinsi ya kuchimba mabwawa.
Njoo upate Mafunzo na kuunganishwa na miradi yenye masoko ya uhakika,ambayo utasaini mkataba.Wasiliana kwa namba 0769831541/0628636160 kwa maelekezo zaidi.
Tukithubutu TUNAWEZA.

tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top