Dkt. John Pombe akiwa hospital
Mh .Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli Leo hii amemjulia hali Meja Jen. Mstaafu Vincent Mribata aliyelazwa hospital ya JWTZ lugalo baada ya kujeruhiwa kwa risasi Jana.Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.
tangazo hapa