tangazo hapa
Diamond na Dillish.Wawili hao wameonekana Zanzibar wakiwa na furaha wakipata upepo wa bahari visiwani Zanzibar. Diamond bado akiwa anakabiliwa na uvumi wa kuzaa na mwanamitindo wa kimatataifa Hamisa Mobetto huku mwenyewe akikanusha.
Diamond ni msanii Mwenye mafanikio makubwa Afrika Mashariki huku akiwa na umri Mdogo.Hivyo basi diamond anasibitisha yeye ni sukari ya walembo.
tangazo hapa