tangazo hapa
Mwanamama mrembo Mwenye watoto 5 ,ambao wawili amezaa na Diamond na 3 ,na marehemu mumewe Ivan the don.Kwa sasa apitia katika wakati mgumu baada ya mchumba wake Diamond Platinum kutokua muaminifu kila kukicha akianzisha mahusiano na wanawake wapya ,wachanga na wenye mvuto.Baada ya Zari na Diamond kukanusha mtoto wa Hamisa Mobetto siyo wa Diamond. Diamond aibuka na mapya baada ya shilawadu kumbamba Zanzibar akila raha na Dillish Mathew mshindi wa big brother 2013 vilevile ni mwanamitindo.
Kitendo hicho kimemuuza Zari na kuamua kuonesha Dole la kati.Huku Dillish akiendelea kutamba kwa kutuma clip mbalimbali akiimba nyimbo za Diamond kwa hisia Kali akionesha yuko Mad in love with Simba.
ZARI akitoka povu,Dillish akionesha jinsi gani Diamond alivobadilisha maisha yake.
Siku zote watanzania ni watu wema wameguswa sana na kitendo hichi hivyo basi wameamua kumshauri Zari achukue time take kwasababu Diamond anamzalilisha na Aache maisha ya Social media ambayo ni fake life,angekua boss lady kweli asingevumilia matendo hayo angemove on na Maisha yake.Hana Mali za urithi za Ivan wala nini Bali anaidanganya jamii na yeye mwenyewe kwa kuishi maisha sio yake ya kuigiza.Angekua na uwezo wa Kupata hata 1000$ kwa mwezi asingeweza vumilia Diamond anayomfanyia.
tangazo hapa