tangazo hapa
Mange kimambi afunguka kwa wanaume wakware wote.
Mwanaharaki katika mitandao ya kijamii aishie Marekani amefunguka haya kwa wanaume wote wanaomtaka kimapenzi.Mwanamama huyu Mwenye watoto wawili wa kiume ambaye amezaa na Mzungu na baadae kutengana na baba watoto wake ,amelalamika anasumbuliwa sana na wanaume wakware wakimuhitaji kimapenzi na kumuahidi kumuoa na kulea watoto aliozaa na Mzungu.Sasa basi Mange hana hiyana yupo tayari kuolewa ama kutoa penzi kwa mwanaume yeyote atakae timiza vigezo vya anavyovihitaji.Vigezo hivyo ni pamoja na kununuliwa simu aina ya IPhone X.
Mange afunguka zaidi mtumieni simu aina hiyo then mazungumzo baadae.Sio mnamsumbua kumbe hata kuhonga simu hamuwezi.Unaweza tuma Pesa kupitia BankAbcTanzania utapewa visa card utajaza.kwa Maelezo zaidi mfollow mange kwenye account yake ya Instagram.
tangazo hapa