ZARI AONESHA USHUJAA LICHA YA MAGUMU ANAYOPITIA

Friday, 15 September 2017

ZARI AONESHA USHUJAA LICHA YA MAGUMU ANAYOPITIA

tangazo hapa

Zari the don
Mwanamama machachari kutoka Uganda Zarina Hassan anaejulikana kwa jina la Zarithebosslady ameonesha ushujaa wa hali ya juu baada ya kugundua baba watoto wake anamcheat na mrembo kutoka Namibia Dillish Mathew. Hivyo basi ameamua kuendelea kufurahia maisha yake atakavyo kwa kufanya apendayo.
Zari ameamua kupost ametoka out  na mtu asiyejulikana  ,na kuleta minong'ono kuwa na yeye amerudisha majibu kwa kutafuta mwenza mwengine.
Mrembo Dillish ambae ni Tanzania baby ,sukari ya Simba .Sijui project au kweli.

tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top