WOMEN EMPOWERMENT TO THE NEXT LEVEL
PURPLE PLANET ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyojitolea kutoa mafunzo bure kwa siku 30 ,kwa kuwashirikisha wamama kutoka mikoa mbalimbali na kuwapatia mafunzo mbalimbali ya kijasiriamali,kuwajengea uwezo,jinsi ya kutafuta masoko,jinsi ya kutoa huduma nzuri kwa mteja,jinsi ya kutumia uchawi wa kizungu ili mteja asikimbie,jinsi ya kuua panya(kuachana na mawazo hasi,ndugu,jamaa ama rafiki wanaokurudisha nyuma na kukukatisha tamaa),jinsi ya kujua kipaji chako ,jinsi ya kujiamini etc.Semina ilikua inaendeshwa kupitia whatapps group.Na washiriki kugaiwa vyeti.Wewe mama usikose mafunzo yajayo yatakayo anza mwezi huu .Kwa maelezo zaidi tembelea page za @the_purpleplanet INSTRAGRAM
tangazo hapa