Mungu ajibu maombi ya watanzania. Mh .Tundu Lissu arejewa na fahamu na kunena haya.

Saturday, 9 September 2017

Mungu ajibu maombi ya watanzania. Mh .Tundu Lissu arejewa na fahamu na kunena haya.

tangazo hapa
Mh Tundu lissu arejewa na fahamu na kunena haya.

 Baada ya Mh.Tundu Lissu mbunge Singida kupigwa risasi na watu wasiojulikana na hatimaye kupelekwa Kenya kwa matibabu zaidi .Hatimaye arejewa na fahamu baada ya kufanyiwa operesheni iliyochukua mda mrefu.Hiyo yote ni mipango ya Mungu baada ya watanzania wengi kumuombea kwa Mungu ili aweze kumpitisha katika kipindi hichi kigumu atimae apata nafuu.Mungu ashukuriwe tuendelee kumuombea ili apate full recover .


 Baada ya kurejewa na fahamu anena haya."Mwenyekiti I survived to tell the tale.Please keep up the fight "ni maneno machache aliyosema Lissu jioni hii baadaya kufungua kinywa.
Mungu ibariki Tanzania .Mungu ibariki Afrika Amin.

tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top