NAMPONGEZA SANA RAIS WANGU MAGUFULI ,ILA HUU NDIO USHAURI WANGU

Thursday, 24 August 2017

NAMPONGEZA SANA RAIS WANGU MAGUFULI ,ILA HUU NDIO USHAURI WANGU

tangazo hapa

 25/8/2017

Nampongeza Sana Rais Wangu Magufuli, ila Namshauri Mambo Haya Muhimu

Nakubaliana kabisa na utendaji wa rais Magufuri, nampongeza sana-sana. Ana uchungu na Tanzania, ana nia ya dhati ya kuwatumikia watanzania, anedhamiria kututoa katika umasikini. Kwa mara ya kwanza Tanzania inaongozwa na kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Hata hivyo namshauri haya mawili ya msingi
 (1) ABORESHE MASLAHI YA WAFANYAKAZI HARAKA IWEZEKANAVYO
(2) AZINGATIE SHERIA NA KATIBA KATIKA UTENDAJI

Nina Imani ujumbe huu utamfikia na namuombea ulinzi imara, afya njema na mafanikio katika kazi yake nzuri.

By Jugania/JF

tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top