BREAKINGS. NEWS:Hali ya muheshimiwa Tundu Lissu yazidi kuimalika.

Sunday, 10 September 2017

BREAKINGS. NEWS:Hali ya muheshimiwa Tundu Lissu yazidi kuimalika.

tangazo hapa
Afya ya Mh.Tundu Lissu yaendelea kuimarika.
Mh.Tundu Lissu mbunge wa chadema Singida ambaye amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kuhamishiwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.Mungu ni mwema afya yake inaendelea kuimarika baada ya kuanza kuongea kwa sauti kidogo na huku akiweza kutingisha viungo vya mwili wake hususani mikono.Hii ni hatua nzuri ,Watanzania tuendelee kumuombea kwa Mungu ili aweze kubwa fully recovery .Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika. Amina


tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top