tangazo hapa
ZARI ANAWA MIKONO PENZI LA DIAMOND
Hatimaye Zarina Hassan mama watoto wa Diamond Platnum aumizwa sana na kitendo cha mchumba wake huyo kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine mpaka kuamua kuzaa nae.Diamond amekiri kutoka kimapenzi na Hamisa Mobeto ambaye ni Video vixen katika nyimbo ya salome na mwisho wa siku kuzaa mtoto kwa majina Abdul Latif licha ya kuzaa naye Diamond amekiri wazi kutoa huduma za matumizi kwa mama na mtoto na kumnunulia gari mama mtoto wake aina ya Rav4,kwa matumizi ya clinic.
ABDUL LATIF
UPANDE WA HAMISA MOBETTOImekuwa ni siku njema sana kwa familia ya Hamisa baada yakukubaliwa hadharani baada ya siku zote Diamond kukanusha.Hatimaye Diamond amkubali mtoto na kuanza kumpost public.
UPANDE WA ZARI
Limekuwa ni pigo sana kwa Zari baada ya kupata taarifa hizo,Zari aamua kuelezea hisia zake kwenye mitandao na huku akimkumbuka marehemu muwewe Ivan the Don ambaye alikua anampenda kwa dhati na siku zote alikua akimwambia mkewe huyo bado anampenda na anamsubiria warudiane.
Zari aoneshwa kukerwa na kwenda mbali zaidi na kumtaka Diamond wakae wayapange jinsi ya kulea watoto hatokubali kuendelea kuwa na mahusiano na Diamond.
tangazo hapa