tangazo hapa
Ajali mbaya imetokea Morogoro mjini maeneo ya masika treni na coaster zimegongana inasemekana watu wengi wamepoteza maisha wakiwemo mwanafunzi na wengineo.Poleni sana mliokumbwa na mkasa huo,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.
tangazo hapa
