tangazo hapa
OmmyDimpoz aandika barua nzito kwa Diamond.Barua ya wazi kwa binti yangu malkia wa nguvu .Salam zako nimezipata mwanangu hivi ni kweli wewe wa kukosa adabu na kuamua kunichamba Mimi Baba yako?.Sasa kosa langu ni nini?.Kwani kuna ubaya kumtandikia kitanda baby wako King?.
Mwisho wa kunukuu je wewe unazani ni sawa bifu kati ya watoto kumshirikisha mzazi? Toa maoni yako.
tangazo hapa
