tangazo hapa
May weather aibuka kidedea dhidi ya Mc Gregory
May weather amtwanga Mzungu Conor Mc Gregory katika round ya 10.Huku mzungu akitoka kamasi na kusaliti amri hakutaka kushindwa kizembe na kumuacha Flody akijizolea mabillion ya shilingi.
tangazo hapa