Msimamo wa wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu matibabu ya Lissu
Bungeni Leo wamekubaliana kuchangia jumla ya shilingi Tsh mil 43 ambazo ni makato ya nusu posho kwa kila mbunge kwa ajili ya matibabu ya Tundu Lissu.Watanzania tuendelee kujitolea kumchangia Mbunge wetu.Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika Amin.
tangazo hapa