tangazo hapa
Habari zilizotufikia hivi punde.
Mh.Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki hali yake inaendelea kuimalika.Na ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.Tuendelee kumuombea kwa hali na Mali.Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Afrika Amina.
tangazo hapa
