Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Magufuli anena mazito baada ya Tundu lissu kupigwa risasi.

Thursday, 7 September 2017

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Magufuli anena mazito baada ya Tundu lissu kupigwa risasi.

tangazo hapa
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Dr  John  Magufuli anena mazito




















Mheshimiwa  Dr .John Magufuli atoa ujumbe ufuatao baada ya kupata taarifa kuhusiana na Tundu Lissu kufyatuliwa risasi na watu wasiojulikana ."Nimepokea kwa masikitiko tukio la kupigwa risasi  Mh.Tundu Lissu,namuombea mwenyezi Mungu aweze kupona haraka".
"Aidha vyombo vya dola viwasake wale wote waliohusika na tukio hili la kinyama na kuwafikisha katika mikono ya sheria."
Mungu ibariki Tanzania .Mungu ibariki Afrika Amiin.

tangazo hapa
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top